Dec 2, 2009

TANGAZO:MKUTANO WA BARAZA LA VIJANA TAWI.

Yah: MKUTANO WA PILI WA BARAZA KUU LA VIJANA(UVCCM-URUSI)
Wajumbe wote wa UVCCM nchini Urusi mnatangaziwa kuwa , kutakua na Kikao cha kwanza cha mkutano wa pili wa baraza la vijana wa chama cha mapinduzi tawi la CCM –MOSCOW , (UVCCM-URUSI) Kwa mwaka 2009 ,

Mkutano huo Utafanyika tarehe 06/12/2009 siku ya jumapili, ukumbi wa mikutano wa block 6 –mikluho maklaya(moscow) , kuanzia saa 8:30-11:30 jion.
Mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM –URUSI Ndg. Bakunda Chrispin .

Ajenda za mkutano ni nne na zimeanishwa katika barua za mwaliko kwa wajumbe husika kwa email zao.
Wajumbe mnakumbushwa kuangalia email zenu na kupitia ajenda ili kujenga hoja yakinifu na zenye maslahi kwa tawi.

Fika bila kukosa.

Uongozi UVCCM

похожие новости:

1 comments:

Anonymous said...

Shukrani kwa blog ya kuvutia


 
Авторские права 1996 - 2011 Chama Cha Mapinduzi. Haki zote zimehifadhiwa
.
Best Blogger Gadgets Best Blogger Gadgets